• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 17 wafariki katika ajali ya basi nchini Thailand

    (GMT+08:00) 2020-10-12 08:42:35

    Watu 17 wamefariki papo hapo na wengine 30 kujeruhiwa baada ya basi la watalii kugongana na treni ya mizigo katikati ya Thailand jumapili asubuhi.

    Ofisa mkuu wa serikali katika wilaya ya Bang Toey Prathuang Yukasem amesema, treni ya mizigo iligonga basi hilo lililokuwa na abiria 65 na lilikuwa likivuka njia ya treni katika wilaya hiyo iliyoko mkoani Chachoengsao.

    Polisi wanaendelea na uchunguzi kujua chanzo cha ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako