• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Washiriki wote wa Maonesho ya tatu ya CIIE watakiwa kupimwa virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-10-12 08:46:48

    Mpango wa kukinga na kudhibiti virusi vya Corona kwenye Maonesho ya tatu ya bidhaa za nje ya kimataifa ya China (CIIE) umeweka bayana kuwa, wageni wanaoingia nchini China kushiriki au kuhudhuria maonesho hayo wanatakiwa kuwekwa karantini kwa muda wa siku 14 katika hoteli zilizoteuliwa. Pia washiriki na wafanyakazi wote wa maonesho hayo wanatakiwa kupimwa virusi vya Corona, na kuonesha majibu hasi ya upimaji uliofanyika ndani ya siku saba kabla ya kuingia kwa mara ya kwanza kwenye majumba ya maonesho hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako