• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wahamiaji 11 wafa maji baada ya boti yao kuzama pwani ya Tunisia

    (GMT+08:00) 2020-10-12 08:47:59

    Wahamiaji haramu 11 wamekufa maji baada ya boti yao kuzama jana jumapili katika pwani ya Tunisia.

    Shirika la habari la Tunisia limesema, boti moja iliyobeba wahamiaji haramu 25 kutoka nchi za Afrika kusini mwa Sahara ilizama jana kwenye eneo la bahari karibu na mji wa Sfax, na walinzi wa pwani ya Tunisia wamepata miili ya wahamiaji 11, wakiwemo wanawake 8 na watoto 3, na wengine saba wameokolewa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako