• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KIKAPU: LA Lakers Bingwa wa NBA 2020, LeBron ang'aa tena

    (GMT+08:00) 2020-10-12 16:55:57

    Nyota wa LA Lakers LeBron James ameshinda taji la NBA 2020, Lebron anakuwa kashinda mataji manne ya NBA akiwa na timu tatu tofauti. LeBron akiwa ndio kwanza ana umri wa miaka 35, ameshinda taji hilo akiwa na vilabu vya Miami Heat 2, Cleveland Cavaliers 1 na LA Lakers mara 1. Baada ya Ubingwa huo wa LA Lakers dhidi ya Miami Heats katika game 6 ya NBA, umemfanya LeBron kupewa tuzo ya MVP ya mchezaji mwenye thamani zaidi katika fainali za NBA baada ya kushinda Ubingwa 2012, 2013, 2016 na 2020.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako