• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchumi wa China watangulia kufufuka duniani ukisukumwa mbele na siku za mapumziko ya Siku ya Taifa

    (GMT+08:00) 2020-10-12 17:15:22

    Kwa mujibu wa taarifa za uchambuzi wa CNN, uchumi wa China umeanza kufanya vizuri tena wakati ambapo utalii na matumizi vimerejea katika siku za mapumziko ya Siku ya Taifa wiki iliyopita.

    Siku ya taifa ya mwaka huu ambayo ilikuwa Oktoba Mosi ilisherehekewa pamoja na sikukuu ya mbalamwezi, na kufanya mapumziko haya yafikie siku nane. Kwa mujibu wa CNN hadi mwishoni mwa mwaka huu pato la taifa ya nchi GDP linaweza kuongezeka kwa asilimia 17.5 ambazo zitakuwa ni hadi alama 1.1.

    Uchambuzi huo pia umebainisha kuwa Benki ya Dunia imekadiria kwamba Pato la taifa la China GDP linatarajiwa kukua kwa asilimia 1.6 mwaka huu, huku uchumi wa dunia kwa ujumla ukipungua kwa asilimia 5.2.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako