• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maadhimisho ya miaka 40 tangu kuanzishwa kwa eneo maalumu la kiuchumi la Shenzhen kufanyika tarehe 14

    (GMT+08:00) 2020-10-12 19:05:26

    Maadhimisho ya miaka 40 tangu kuanzishwa kwa eneo maalumu la kiuchumi la Shenzhen yatafanyika tarehe 14 asubuhi mjini Shenzhen, mkoani Guangdong.

    Rais Xi Jinping wa China atahudhuria na kuhutubia maadhimisho hayo.

    Kituo kikuu cha radio na televisheni cha China na tovuti ya Xinhua zitatangaza moja kwa moja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako