• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Trump apata majibu hasi kwenye upimaji wa COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-10-13 08:43:29

    Daktari wa Ikulu ya Marekani Sean Conley amesema jana Jumatatu kuwa Rais Donald Trump amepata majibu hasi kwenye vipimo vya virusi vya Corona, siku 12 baada ya kuthibitika kuambukizwa virusi hivyo.

    Rais Trump amepanga kushiriki kwenye mkutano wa kampeni mjini Sanford jimboni Florida, ambao utakuwa ni ziara yake ya kwanza ya kampeni tangu athibitishwe kuwa na virusi vya Corona Oktoba Mosi, na kulazwa hospitali kwa siku tatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako