• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China afanya ziara ya ukaguzi kwenye mkoa wa Guangdong

    (GMT+08:00) 2020-10-13 09:21:42

    Rais Xi Jinping wa China jana ameanza ziara ya ukaguzi katika mkoa wa Guangdong , ikiwa ni mara ya tatu kwa rais Xi kufanya ukaguzi mkoani humo baada ya mkutano mkuu wa 18 wa Chama cha Kikomunisti cha China.

    Rais Xi ametembelea mji wa kale wa Chaozhou, ambapo amekagua maeneo kadhaa ikiwemo kazi ya uhifadhi na matengenezo ya mabaki ya kitamaduni, urithi wa utamaduni usioshikika, na uendelezaji wa raslimali za utamaduni na utalii.

    Pia rais Xi ametembelea kampuni ya Three-circle ya Chaozhou, ambapo amefahamishwa kwa kina maendeleo ya uvumbuzi na uendeshaji ya kampuni hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako