• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Auawa kwa kusababisha timu yake kufungwa

    (GMT+08:00) 2020-10-13 16:50:44

    Nchini Uganda Churchill Owaci (22) ameuawa na wachezaji wenzake kwa kufanya makosa yaliyopelekea kufungwa goli katika mechi ya kirafiki baina ya timu mbili za mtaani. Mwenyekiti wa Kaunti Ndogo ya Agoro, Denis Onyon amesema, wachezaji wenzake walimpiga na baada ya mchezo Owaci alitaka kulipa kisasi kwa kumvuta mchezaji mwenzake kwenye baiskeli hali iliyosababisha ugomvi zaidi. Msemaji wa Polisi, ASP Jimmy Patrick Okema amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema wanawashikilia watu wawili kuhusiana na tukio hilo huku uchunguzi ukiendelea

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako