• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Robinho asaini kwa mshahara wa euro 230 kwa mwezi

    (GMT+08:00) 2020-10-13 16:51:05

    Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid na Man City Robinho, 36, amerejea kwao Brazil katika klabu ya Santos iliyomlea na kumtoa 2002-2005 na kwenda kuanza maisha Real Madrid. Robinho anajiunga na club hiyo kama mchezaji huru kwa mkataba wa miezi mitano baada ya kumaliza mkataba na klabu ya Istanbul Başakşehir ya Uturuki na sasa atacheza Santos hadi February 21 2021 kwa mshahara wa euro 230 kwa mwezi ukiwa ni kima cha chini zaidi ya kawaida ya kiwango cha mshahara wa wachezaji Brazil. Kama utakumbuka vizuri Robinho wakati yupo Real Madrid alikuwa akilipwa mshahara wa euro 43,750 kwa wiki, bado haijawekwa wazi lengo la Robinho kukubali mshahara mdogo zaidi Santos.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako