• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China afanya ziara ya ukaguzi wa Kikosi cha Jeshi la Wanamaji PNMC

    (GMT+08:00) 2020-10-13 20:49:46
    Rais Xi Jinping wa China leo amefanya ziara ya ukaguzi wa Kikosi cha Jeshi la Wanamaji PLA Navy Marine Corps PNMC. Akisisitiza kuwa, kikosi hicho kinapaswa kubeba majukumu muhimu katika kulinda usalama wa mamlaka ya nchi na ukamilifu wa ardhi, kulinda maslahi ya bahari ya taifa, kulinda maslahi ya nchi katika nchi za nje. Pia inapaswa kuharakisha hatua ya mageuzi, kuongeza uwezo wa kufanya mapambano, ili kukijenga kuwa kikosi chenye uwezo shirikishi, kuwa na mwitikio wa kasi, na kutekeleza majukumu kwa pande zote.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako