• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WTO: EU yaweza kutoza ushuru dhidi ya bidhaa za Marekani kufuatia nchi hiyo kutoa ruzuku za kiserikali kwa Boeing

    (GMT+08:00) 2020-10-14 08:39:00

    Shirika la Biashara Duniani (WTO) jana jumanne limeamua kuwa, Umoja wa Ulaya unaweza kutoza ushuru dhidi ya bidhaa za Marekani zenye thamani ya dola bilioni 4, ili kujibu hatua ya Marekani ya kutoa ruzuku za kiserikali kwa kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing.

    Akijibu uamuzi huo, Mwakilishi wa Biashara wa Marekani Robert Lighthizer amesema Umoja wa Ulaya hauna msingi halali wa kulipiza kisasi dhidi ya bidhaa za Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako