• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Miradi 426 yasainiwa katika Mkutano wa 3 wa Dijitali wa China

    (GMT+08:00) 2020-10-14 18:51:55

    Mkutano wa 3 wa Dijitali wa China umefungwa leo mjini Fuzhou mkoani Fujian. Habari zinasema, miradi 426 ya uchumi wa kidijitali ilisainiwa katika mkutano huo na uwekezaji wa jumla unafikia renminbi yuan bilioni 331.6, sawa na dola za kimarekani bilioni 49.2.

    Kamati ya maandalizi ya mkutano huo ilisema, miradi hiyo ni pamoja na akili bandia, 5G, mtandao wa inteneti ya viwanda, na blockchain, na itahimiza utengenezaji wa tarakimu na dijitali ya viwanda, ufanisi wa jukwaa la mkutano huo na athari ya ziada zitaoneshwa zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako