• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping atoa heshima kwa kuweka shada la maua kwenye sanamu ya Deng Xiaoping mjini Shenzhen

    (GMT+08:00) 2020-10-14 19:57:37

    Rais Xi Jinping wa China leo mchana ameweka shada la maua kwenye sanamu ya marehemu Deng Xiaoping kwenye Mlima Lianhuashan mjini Shenzhen, mkoani Guangdong, ili kutoa heshima yake ya kumkumbuka, muasisi huyo mkuu wa mageuzi ya ujamaa na ujenzi wa mambo ya kisasa ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako