• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kundi la waasi la Sudan Kusini NAS lawaachia huru raia wawili wa Sudan

    (GMT+08:00) 2020-10-15 09:02:58

    Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imesema jana jumatano kuwa ikiwa ni mpatanishi asiyependelea upande wowote, imewezesha kuachiwa huru kwa watu watatu waliokuwa wakishikiliwa na kundi la waasi la Sudan Kusini NAS, wakiwemo raia wawili wa Sudan, na wamesafirishwa salama mjini Juba kwa kibali cha pande zote mbili.

    Mpaka sasa kamati ya ICRC imewezesha kuachiwa kwa watu 23, wakiwemo watoto 11, tangu mwezi Januari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako