• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zimbabwe yapitia upya muundo wa umiliki wa mashirika ya kiserikali ili kuboresha ufanisi

    (GMT+08:00) 2020-10-15 09:03:16

    Serikali ya Zimbabwe inapitia upya muundo wa umiliki wa mashirika yanayomilikiwa na serikali (SOEs), ikiwa ni sehemu ya mageuzi yanayoendelea ya kuongeza ufanisi na kuboresha utendaji wa mashirika hayo kwa ajili ya ukuaji wa uchumi.

    Akiongea kwenye semina ya mawaziri kuhusu suala hilo, Rais wa nchi hiyo Emmerson Mnangagwa amesisitiza haja ya kuimarisha mifumo ya usimamizi wa mashirika ya kiserikali, ili kuhakikisha yanachangia maendeleo ya uchumi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako