• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Biashara ya mtandaoni ya kuvuka mpaka nchini China katika robo tatu ya kwanza ya mwaka huu yaongezeka kwa zaidi ya 50%

    (GMT+08:00) 2020-10-15 09:39:34

    Takwimu zilizotolewa na Idara ya Forodha ya China zimeonesha kuwa, kwenye robo tatu ya kwanza mwaka huu, thamani ya jumla ya biashara ya bidhaa zilizoagizwa na zilizouzwa nje ya China katika robo tatu ya kwanza ya mwaka huu imefikia yuan trilioni 23.12, na kuongezeka kwa asilimia 0.7 kuliko mwaka jana wakati kama huu.

    Mkurugenzi wa idara ya biashara ya nje ya wizara ya biashara ya China Bw. Li Xingqian jana hapa Beijing amesema, Umoja wa nchi za Asia Kusini Mashariki (ASEAN) umekuwa mwenzi mkubwa zaidi wa biashara wa China, huku biashara kati ya China na nchi za "Ukanda Mmoja na Njia Moja" ikiongezeka kwa asilimia 1.5, na uuzaji wa bidhaa kwa masoko ya jadi ya Ulaya na Marekani unafufuka. Pia amesema biashara ya mtandaoni ya kuvuka mpaka imeongezeka kwa kasi kwa asilimia 52.8.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako