Idadi ya watu waliofariki kutokana na kunywa pombe feki katika jimbo la Madhya Pradesh, katikati ya India imeongezeka na kufikia 11, wengi wao wakiwa ni wafanyakazi maskini.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |