• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Zimbabwe aipongeza China kwa kuiunga mkono Zimbabwe

  (GMT+08:00) 2020-10-16 16:38:01

  Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameipongeza serikali ya China kwa kuiunga mkono kwa muda mrefu Zimbabwe.

  Rais Mnangagwa amesema, China imeiunga mkono Zimbabwe katika majukwaa ya kimataifa wakati ambao masuala yanayohusu Zimbabwe yanajadiliwa. Pia amesema, China imeendelea kutoa misaada katika sekta mbalimbali za nchi hiyo kama vile, afya, nishati, ujenzi wa uwanja wa ndege, elimu na kilimo.

  Nchi hizi mbili mwaka huu zinaadhimisha miaka 40 tangu zianzishe uhusiano wa kibalozi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako