• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CORONA: Wachezaji wa Juventus wote walazimika kujitenga

    (GMT+08:00) 2020-10-16 17:02:08

    Wachezaji wa Juventus wote wamelazimika kujitenga kwa ridhaa yao baada ya kiungo wa timu hiyo Weston McKennie kuthibitika kuwa na Corona. Weston McKennie ambaye amejiunga na Juventus katika dirisha hili la usajili akitokea Schalke ya Ujerumani, ndio mchezaji pekee wa Juventus kuthibitika kuwa na maambukizi hayo kati ya wachezaji wote hivyo wanajitenga kwa tahadhari. Taarifa hizo zinakuja ikiwa ni saa 24 zimepita toka Cristiano Ronaldo wa Juventus athibitike pia kuwa na maambukizi ya Corona akiwa kwao Ureno na sasa amejitenga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako