• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: West Ham United yamfungia shabiki wake kwa miaka mitatu

  (GMT+08:00) 2020-10-16 17:02:46

  Klabu ya West Ham United ya England imetangaza kumfungia kwa miaka mitatu kuingia uwanjani shabiki wake Bradley Thumwood kwa kosa la kumbagua Mohamed Salah wa Liverpool katika mchezo dhidi yao February 2019. Shabiki huyo alinaswa na Camera akitamka maneno ya kumbagua na kumdhihaki MO Salah kwa kutumia dini yake. Katika mchezo wa soka ubaguzi wa namna yoyote ile uwe wa rangi, dini haukubaliki, Bradley amekiri kutenda kosa hilo na kujutia kitendo hicho ambacho kimekuwa kikipingwa ndani ya soka na nje ya soka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako