• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bidhaa za afya kuchukua nafasi kubwa katika maonesho ya tatu ya CIIE

  (GMT+08:00) 2020-10-16 19:14:40

  Makampuni ya dawa duniani yamekuwa yakipigana vikumbo kuwania vibanda vya kuonesha bidhaa zao mpya na ufumbuzi wa afya ya umma kwenye maonesho yajayo ya tatu ya uagizaji bidhaa nje ya China CIIE yanayofanyika Shanghai.

  Kwa mujibu wa msaidizi wa meneja mkuu wa idara ya maonesho Wang Binjie, eneo la maonesho kwa ajili ya vifaa vya afya na bidhaa za huduma ya afya, lenye ukubwa wa mita za mraba elfu 60, limevutia zaidi ya waoneshaji 300 ambao zaidi ya 70 ni makampuni maarufu duniani.

  Bw. Wang amesema makampuni makubwa ya dawa yakiwemo MSD, Eli Lilly and Company, AstraZeneca na Roche yamesaini ili kushiriki kwenye maonesho ya CIIE katika miaka mitatu ijayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako