• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wa kujitolea zaidi ya 4,800 waanza kazi kwenye Maonesho ya CIIE yatakayofunguliwa karibuni

    (GMT+08:00) 2020-10-19 09:24:53

    Watu zaidi ya 4,800 wamejiandikisha kujitolea na kuanza kazi zao kwa ajili ya Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Uagizaji wa bidhaa CIIE ambayo yatafanyika kuanzia Novemba 5 hadi 10 mjini Shanghai .

    Kwa mujibu wa Kamati ya mji wa Shanghai ya Jumuia ya Vijana wa kikomunisti ya China, watu hao wanaojitolea wengi wao ni wanafunzi kutoka vyuo vikuu vya Shanghai, na zaidi ya nusu kati yao walizaliwa baada ya mwaka 2000.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako