Azerbaijan na Armenia zimelaumiana kwa kukiuka mkataba wa kusitisha mapambano uliofikiwa Jumapili, saa kadhaa baada ya pande hizo mbili kusimamisha mapambano kwa mara ya pili kwenye sehemu ya Nagorno-Karabakh
Wizara za Mambo ya Nje za nchi hizo mbili zimetangaza kuwa, pande hizo mbili zimekubaliana juu ya "Mpango mpya wa kibinadamu" katika sehemu hiyo kuanzia usiku wa Jumamosi.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |