• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya imeandaa mkakati wa mwaka mmoja wa uuzaji wa bidhaa zake za kilimo cha bustani

    (GMT+08:00) 2020-10-19 19:16:51

    Kenya imeandaa mkakati wa mwaka mmoja wa uuzaji wa bidhaa zake za kilimo cha bustani na wakiangali ukuaji wa asilimia 10 wa mauzo ya nje mnamo 2020/2021.

    Masoko ya mauzo ya nje ni pamoja na Jumuiya ya Ulaya, Uingereza, Australia, Falme za Kiarabu, Urusi China na Amerika.

    Kampeni hiyo inaongozwa na Wakala wa Chapa ya Kukuza Usafirishaji wa Kenya kwa kushirikiana na Baraza la Maua Kenya (KFC), Kampuni ya Fresh Produce Consortium ya Kenya (FPC - Kenya), Shirika la Ndege la Kenya na Chama cha Wasafirishaji Wapya wa Bidhaa za Kenya (FPEAK).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako