• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona duniani yazidi milioni 40

    (GMT+08:00) 2020-10-19 19:32:41

    Chuo Kikuu cha John Hopkins cha Marekani kimesema idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona duniani imeongezeka na kuzidi milioni 40, na idadi ya watu waliokufa kwa ugonjwa huo duniani imefikia milioni 1.1.

    Marekani ndio nchi iliyoathiriwa zaidi na ugonjwa huo kwa kuwa na watu milioni 8.1 walioambukizwa na watu laki 2.19 waliokufa kwa ugonjwa huo. Nchi zenye watu zaidi ya milioni moja walioambukizwa ni pamoja na India, Brazil na Russia. Nchi nyingine nyingi pia zimeonyesha kuwa na wimbi la pili la maambukizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako