• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Sudan na ICC hawajafikia makubaliano juu ya utaratibu wa kuwahukumu washukiwa wanaotafutwa

    (GMT+08:00) 2020-10-20 09:34:02

    Waziri wa Sheria wa Sudan Nasr-Eddin Abdul-Bari amesema serikali ya Sudan na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC bado hazijakubaliana juu ya utaratibu maalumu wa kuwahukumu washitakiwa wanaotafutwa kwenye sehemu ya Darfur.

    Bw. Abdul-Bari amesema Sudan imewasilisha mapendekezo matatu kwa ICC nayo ni pamoja na kuanzisha mahakama ya pamoja, washitakiwa wahukumiwe kwenye ICC, au kuanzisha mahakama maalumu nchini Sudan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako