• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanafunzi zaidi ya laki tatu waanza tena masomo nchini Msumbiji

    (GMT+08:00) 2020-10-20 09:34:24

    Radio ya kitaifa ya Msumbiji imeripoti kuwa, wanafunzi zaidi ya laki tatu wa mwaka wa 10 na shule za watu wazima wa mwaka wa tatu nchini humo wameanza masomo Jumatatu, baada ya kusimamishwa kwa miezi saba kutokana na janga la COVID-19.

    Wanafunzi watagawanywa kwenye vikundi vidogo na kusoma shuleni kwa saa chache.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako