• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ulaya yakabiliwa na wimbi la pili la maambukizi ya COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-10-20 19:38:23

    Hivi karibuni Ulaya inakabiliwa na wimbi la pili la maambukizi ya virusi vya Corona, ambapo idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona katika nchi mbalimbali za bara hilo imeongezeka kwa kasi na kutoa shinikizo kubwa kwa mfumo wa afya.

    Shirika la afya duniani WHO jana alasiri ilitangaza kuwa katika saa 24 zilizopita idadi ya maambukizi mapya ya virusi vya Corona barani Ulaya ilikuwa 128,910, na kuifanya idadi ya jumla ya watu waliothibitishwa kuambukizwa virusi hivyo kwenye eneo hilo izidi milioni 8, huku idadi ya vifo ikifikia 256,540.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako