• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Iraq lagundua maiti 50 kwenye kaburi moja jimboni Kirkuk

    (GMT+08:00) 2020-10-21 09:14:19

    Jeshi la Iraq limegundua kaburi moja lenye maiti za watu zaidi ya 50 wanaoaminika kuuawa na kundi la IS jimboni Kirkuk.

    Msemaji wa kamanda mkuu wa jeshi Bw. Yehia Rasool amesema, polisi wamegundua kaburi hilo wakati walipokuwa wakiwasaka wapiganaji wa kundi la IS.

    Habari zinasema, wapiganaji wa kundi la IS wameongeza mashambulizi dhidi ya vikosi vya usalama na raia katika jimbo walilolidhibiti zamani la Sunni na kusababisha vifo na majeruhi ya watu wengi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako