• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zimbabwe kunufaika na makubaliano kati ya mashirika ya ndege ya Emirates na Airlink

    (GMT+08:00) 2020-10-21 09:25:38

    Viwanja vitatu vikuu vya ndege vya Zimbabwe vinatarajiwa kunufaika na makubaliano kati ya mashirika ya ndege ya Emirates na Afrika Kusini Airlink, ambayo yanalenga kupanua maeneo ya kufika Emirate katika nchi za kusini mwa Afrika wakati nchi mbalimbali zimeanza kufungua tena mipaka yao kwa wasafiri.

    Kwa mujibu wa makubaliano hayo, mashirika ya ndege ya Emirates na Ailink yatatoa urahisi kwa wasafiri kuwa na tiketi moja na kwa abiria wanaopitia kwa muda Johannesburg na Cape Town kuandikisha mara moja moja tu mizigo yao wakati wakielekea sehemu mbalimbali nchini Afrika Kusini na katika nchi za kusini mwa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako