• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mke wa rais wa Zambia apongeza msaada kutoka sekta ya binafsi ya China

    (GMT+08:00) 2020-10-21 09:26:04

    Mke wa rais wa Zambia Mama Esther Lungu amepokea msaada wa vitu vikiwemo barakoa laki moja kutoka Kampuni ya China Higer Bus Zambia Limited, na kupongeza sekta binafsi ya China kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za maendeleo za nchi hiyo.

    Meneja mkuu wa kampuni hiyo Bw. Wu Ming amesema msaada huo unalenga kuwawezesha wanafunzi walio katika mazingira magumu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako