• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kubadilika kwa virusi vya Corona hakusababishi athari kubwa kwa utafiti wa chanjo wa China

    (GMT+08:00) 2020-10-21 18:41:38

    Ofisa mwandamizi wa wizara ya teknolojia ya China Bw. Tian Baoguo, amesema uchunguzi unaonesha kuwa, kubadilika kwa virusi vya Corona hakusababishi athari halisi kwa utafiti wa chanjo ya virusi hivyo.

    Bw. Tian Baoguo amesema kikosi kazi cha utafiti wa kisayansi kinafuatilia mabadiliko ya virusi vya Corona, na uchunguzi uliofanywa nao kwa kulinganisha data za jeni za virusi vya Corona vilivyochukuliwa kutoka nchi na sehemu zaidi ya 100 katika mabara sita, unaonesha kuwa mabadiliko ya virusi vya Corona si makubwa, na hayana athari kubwa kwa utafiti wa chanjo ya virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako