• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Namibia yapokea barakoa elfu 10 za msaada kutoka China

    (GMT+08:00) 2020-10-21 19:49:23

    Serikali ya Namibia imepokea barakoa elfu 10 kutoka kwa ubalozi wa China nchini Namibia, kwa ajili ya maofisa wa forodha na mpaka wa nchi hiyo, ili kuzuia kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona.

    Akiongea wakati wa kukabidhi msaada huo kwa wizara ya fedha ya Namibia, Konsela wa mambo ya kisiasa wa ubalozi wa China nchini Namibia Bw. Yang Jun amesema China ambayo imefanikiwa kudhibiti maambukizi ya virusi vya Corona, imesimama imara kushirikiana na nchi nyingine kupambana na virusi vya ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako