• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SADC yasisitiza tena kuondoa vikwazo dhidi ya Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2020-10-22 09:26:11

    Katibu mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC Stergomena Tax amesema, vikwazo vilivyowekwa na nchi za magharibi zikiongozwa na Marekani na Uingereza dhidi ya Zimbabwe vinazidi kuzuia maendeleo ya uchumi ya nchi hiyo na kuathiri kanda ya kusini ya Afrika kwa ujumla na vinapaswa kuondolewa.

    Bibi Tax pia amesema, mswada wa kurejesha demokrasia nchini Zimbabwe uliopitishwa na Baraza la Congress la Marekani mwaka 2001 na marekebisho yake yaliyofuata umeharibu uchumi wa Zimbabwe na maisha ya wazimbabwe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako