• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nchi za Afrika zapima COVID-19 kwa watu zaidi ya milioni 16

    (GMT+08:00) 2020-10-22 09:33:11

    Kituo cha kudhibiti na kuzuia Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimesema, nchi za Afrika zimepima COVID-19 kwa watu zaidi ya milioni 16.

    Kituo hicho pia kimesema kati ya watu wote waliopimwa, asilimia 9.7 wamepatikana wana ugonjwa huo, na kwamba hadi sasa idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa virusi hivyo barani Afrika imezidi milioni 1.6.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako