• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mapambano kati ya wafuasi wa vyama vya upinzani vya Guinea na polisi yasababisha vifo vya watu zaidi ya saba

    (GMT+08:00) 2020-10-22 09:33:46

    Wizara ya usalama na ulinzi wa mambo ya kiraia ya Guinea imetoa taarifa ikisema kuwa, kuanzia tarehe 19 hadi 21, yalitokea mapambano mengi kati ya wafuasi wa vyama vya upinzani na polisi, na kusababisha vifo vya zaidi ya watu saba, na wengine wengi kujeruhiwa.

    Taarifa hiyo pia inawataka wananchi wajizuie, kutoa madai kwa njia sahihi, pia imeeleza kuwa itachukua hatua kuzuia vitendo vya kimabavu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako