• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Tanzania yatoa tahadhari kabla ya mvua za msimu

    (GMT+08:00) 2020-10-22 09:34:13

    Mamlaka ya Hali ya Hewa ya Tanzania TMA imetoa tahadhari kabla ya mvua za msimu zinazotarajiwa kuanza Novemba mwaka 2020 hadi Aprili mwaka 2021 katika sehemu mbalimbali nchini humo.

    Mamlaka hiyo pia inapendekeza jamii ichemshe maji ya kunywa, kuzuia na kuteketeza maeneo ya mazalio ya mbu, kuchukua hatua mwafaka za usafi na kuboresha tabia ya kunawa mikono na kuhakikisha usafi wa mazingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako