• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ligi ya soka Tanzania inaendelea leo kwa mechi mbili

    (GMT+08:00) 2020-10-22 17:17:06

    Leo ligi Kuu ya Tanzania Bara inaendelea ambapo timu nne zitakuwa kwenye viwanja viwili tofauti kusaka pointi tatu muhimu.Yanga itakuwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni kumenyana na Polisi Tanzania mchezo wa ligi. Timu ya Polisi Tanzania imetoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Gwambina FC mchezo wao uliopita huku Yanga ikitoka kushinda mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union mchezo wao wa mwisho wa ligi. Tanzania Prisons itaikaribisha Simba, Uwanja wa Nelson Mandela saa 10:00 jioni, Prisons imetoka kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya JKT Tanzania na Simba mchezo wake wa mwisho ilishinda mabao 4-0 dhidi ya JKT Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako