• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sofapaka yanyemelea mchezaji wa Gor Mahia

    (GMT+08:00) 2020-10-22 17:20:21

    Mshambuliaji wa Gor Mahia, Samuel Onyango yuko kwenye rada ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Kenya mwaka 2019 Sofapaka, wakati timu hiyo badi haijazungumza naye kuhusiana na mkataba wake, wkati iliopo sasa ukielekea ukingoni. Samuel amekuwa sehemu muhimu ya Gor tangu ajiunge nao mwaka 2018, na mkataba wake wa sasa umebakiza mwenzi mmoja tu. Kama hakitakuwa na hatua yoyote ya kumbakiza Gor, Samuel atakuwa akimfuata kiungo wa zamani wa Gor Mahia, Lawrence Juma kwenda Sofapaka. Onyango mwenyewe amethibotosha luwa hadi sasa bado hajafanya mazungumzo ya kuongeza mkataba na kwamba kuna mawasiliano na Sofapaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako