• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Msumbiji ataka kuimarisha ushirikiano na China katika sekta mbalimbali

    (GMT+08:00) 2020-10-22 18:49:07

    Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ameishukuru China kwa uungaji mkono na misaada yake kwa amani na maendeleo ya Msumbiji, na kutaka nchi yake kuimarisha ushirikiano na China katika sekta mbalimbali na kusukuma mbele uhusiano kati ya nchi hizo mbili kwa pamoja.

    Rais Nyusi amesema hayo jana wakati alipopokea hati ya utambulisho iliyokabidhiwa na balozi mpya wa China nchini Msumbiji Bw. Wang Hejun kwenye ikulu ya Msumbiji. Pande hizo mbili zilifanya mazungumzo ya kirafiki kuhusu uhusiano na ushirikiano kati ya nchi mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako