• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wenye silaha wawaua wanakijiji 20 nchini Nigeria

    (GMT+08:00) 2020-10-22 18:49:30

    Polisi wa jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria wamesema kuwa, wanakijiji 20 kwenye jimbo hilo wameuawa na kundi la watu wenye silaha.

    Msemaji wa polisi ya jimbo la Zamfara Bw. Mohammed Shehu amesema shambulizi hilo dhidi ya kijiji cha Tungar Kwana lilitekelezwa na majambazi wanaoona kuwa wakazi wa kijiji hicho walitoa habari kwa idara za usalama. Wiki iliyopita taarifa zilizotolewa na wanakijiji hao zilisaidia kikosi cha usalama katika jimbo hilo kuwaua watu wengi wenye silaha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako