• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya China yapongezwa kwa uhodari wa kutekeleza mradi wa maji wa Kafulafuta nchini Zambia

    (GMT+08:00) 2020-10-23 09:31:29

    Kampuni ya uhandisi ya kitaifa ya China CCEC imesifiwa kwa uhodari wake katika mradi wa maji wa Kafulafuta iliyoushughulikia mkoani Copperbelt nchini Zambia.

    Mbunge wa Mulungushi Wadi ya 10 Paul Mulenga amesema, CCEC imeonesha njia ya kutumia teknolojia katika uendelezaji wa miundombinu, na kwamba mradi huo ukikamilika maisha ya wenyeji wa huko yatakuwa bora zaidi .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako