• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yatangaza kupata mafanikio katika majaribio ya rada za masafa marefu kwenye mazoezi ya kijeshi

    (GMT+08:00) 2020-10-23 09:31:52

    Shirika la habari la kiislamu la IRGC Sepah News limeripoti kuwa, Jeshi la Iran limefanikiwa kufanya majaribio ya rada za Qadir, Moraqeb na Bashir kwenye mazoezi ya kijeshi ya anga ili kutambua shabaha zao angani. Ripoti imesema mfumo wa rada ya Qadir umetengenezwa na wataalamu, wanasayansi na vijana wa kundi la Jihad la IRGC, na ina teknolojia za kisasa ambazo zinapatikana katika nchi chache tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako