• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shanghai yarahisisha utaratibu wa forodha kwa maonesho ya CIIE

    (GMT+08:00) 2020-10-23 09:32:22

    Hadi kufikia tarehe 20 Oktoba, jumla ya awamu 114 ya vitu vya maonesho vyenye thamani ya dola za kimarekani milioni 7.51 zimekamilisha utaratibu wa forodha tarehe 20 Oktoba na viko tayari kuoneshwa kwenye Maonesho ya tatu ya Kimataifa ya Uagizaji wa Kimataifa ya China CIIE.

    Kutokana na hatua za kawaida za udhibiti wa COVID-19, forodha ya Shanghai imekuwa ikiwarahisishia huduma wafanyabiashara wanaoshiriki kwenye maonesho hayo ya mwaka huu, na kuanzisha njia 43 maalumu na kaunta 79 maalumu katika bandari muhimu mjini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako