• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jumamosi katika viwanja vya soka Ulaya

    (GMT+08:00) 2020-10-23 18:44:14

    Kesho jumamosi viwanja vya soka vitakuwa vimechangamka baada ya wikiendi iliyopita klabu kupumzika kwa ajili ya majukumu ya kimataifa, na klabu nyingine kwenye michezo ya bara. Nchini Hispania kutakuwa na El-Classico, mechi ya kukata na shoka kati ya Real Madrid na Barcelona. Baada ya kufungwa na Shakhtar Donetsk 3-2, Real Madrid itaingia uwanjani ikiwa na donda la kufungwa na timu B, ya timu dhaifu kwenye kundi lake na kumwacha kocha Zenedine Zidane akiwa ameinamisha kichwa. Man City kesho inakutana na West ham United ambayo walimfanyia mbaya Totenham ambapo baada ya kuongoza kwa magoli matatu kwa bila hadi dakika ya 80 walilazimisha sare ya 3-3. Man United baada ya kubeba point 3 kutoka Paris kwenye klabu bingwa, watakutana na Chelsea katika uwanja wa Old Traforf

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako