• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mgombea wa upinzani wa Shelisheli ashinda kwenye uchaguzi wa rais

    (GMT+08:00) 2020-10-26 08:36:29

    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Shelisheli Bw. Danny Lucas jana Jumapili alitangaza kuwa mgombea urais wa upinzani Bw. Wavel Ramkalawan kutoka chama cha Seychelles Democratic Union amepata ushindi kwenye uchaguzi wa urais kwa kupata asilimia 54.9 ya kura.

    Rais Danny Faure ambaye pia ni mgombea kutoka chama cha United Seychelles amepata asilimia 43.5 ya kura. Bw. Wavel Ramkalawan mwenye umri wa miaka 59 alishindwa mara tano kwenye uchaguzi wa urais, na sasa aligombea kwa mara ya sita kwake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako