• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Afrika watoa mwito wa kuondoa vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2020-10-26 08:36:53

    Mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Faki Mahamat ametoa mwito wa kuondoa vikwazo dhidi ya Zimbabwe.

    Taarifa iliyotolewa na Umoja wa Afrika imesema Bw. Mahamat amesisitiza kwa mara nyingine matakwa ya umoja huo kuhusu kuondoa vikwazo dhidi ya Zimbabwe mara moja bila masharti, na kuunga mkono uamuzi wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kuhusu kuadhimisha tarehe 25 mwezi Oktoba mwaka 2020 kama Siku ya Kupinga Vikwazo.

    Bw. Mahamat amesema Umoja wa Afrika unafuatilia athari mbaya za vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Zimbabwe kwa uchumi na watu wa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako