• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Adam Adam afunga hat trick ya kwanza VPL

    (GMT+08:00) 2020-10-26 15:29:55

    Nyota wa JKT Tanzania, Adam Adam amefunga hat trick ya kwanza katika Ligi Kuu Bara (VPL) msimu wa 2020/2021, na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 6 – 1 dhidi ya Mwadui FC ya Shinyanga katika mchezo ambao JKT Tanzania walikuwa ugenini. Mechi hiyo ndio ambayo imetoa magoli mengi zaidi (7) katika Ligi Kuu Bara msimu huu, ambapo awali mechi kati ya Azam dhidi ya Kagera Sugar iliyokuwa na mabao sita ndio ilikuwa inaongoza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako