• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • VOLLEYBALL: Bouchra Hajij achaguliwa kuwa rais mpya wa CAVB

    (GMT+08:00) 2020-10-26 15:31:11

    Hajij Bouchra, raia wa Morocco amechaguliwa kuwa rais mpya wa Shirikisho la Mpira wa Wavu (Volleyball) la Afrika (CAVB). Bouchra alipata kura 42 kumwondoa madrakani Dr. Amr Elwani aliyepata kura 12 katika uchaguzi uliofanyika jana jumapili kupitia mtandao. Elwani alishika wadhifa huo kuanzia mwaka 2001. Wakati huohuo, Waithaka Kioni raia wa Kenya alitetea nafasi yake kwa kupata kura 38 na kumshinda mpinzani wake wa Kanda ya V Joseph Will wa Sudan Kusini aliyepata kura 10.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako